Umeipata Hii: Kuhusu Dini Ya Kanye West Na Jinsi Ya Kujiunga.

yeezusRapper Kanye West ni miongoni mwa wasanii wanaopenda kujifunza na kugundua au kubuni mambo mapya kila siku ili kuonekana tofauti, kama unakumbuka mwaka jana alitangaza mpango wake wa kuanzisha dini yake na mpaka kupelekea kuipa album yake Jina Yeezus ambalo ni mchanganyiko wa Ye na Jesus...>>>

Dini ya rapper na producer huyu itaitwa Yeezianity na wanaotaka kujiunga nayo wameshapewa nafasi ya kutembelea mtandao wa waumini wa dini hii ambao niYeezianity.com Na waumini hawa watakuwa wanatumia na kuva sanamu linalofanana na sura ya Kanye West ambaye ndio mwanzilishi wa dini hii.
Ukitaka kujiunga Unatakiwa kupiga picha umeshika karatasi iliyoandikwa ‘I Beleive In Yeezus’ ikionyesha sura yako na watumie kwenye Email Yao.
yz 3yknyz 7

Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks