
Kuwa na Clothing Line imekuwa kazi ya wasanii wengi duniani kama Nelly, Puff Daddy, Jay Z na Lil Wayne. Hapa Tanzania mpaka sasa wasanii kama Tmk Wanaume, Izzo Bizness wamekuwa na nguo zao wenye we na sasa Jux ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye clothing Line Tanzania..>>>
Kama picha inavyoonyesha nguo za Jux kama vest na T Shirt zitakuwa na picha yake. Kupitia Kurasa yake ya Facebook jux “My #25 JUX Vests Line zitaanza kuuzwa pale –> STAR LOOK – Sinza exclusively very soon! Zipo kwa jinsia zote kwa wanaume na wanawake pia!! #AfricanBoy ”
“#AfricanBoy My Vests are coming soon!! Will be available at STAR LOOK – Sinza! Also Watch Nitasubiri (Official Video) ”

0 comments:
Post a Comment