WALIOMUUA SISTA UBUNGO NA
KUCHUKUA HELA WATIWA MBARONI.
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam
inawashikilia watuhumiwa wawili wa
KUCHUKUA HELA WATIWA MBARONI.
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam
inawashikilia watuhumiwa wawili wa
ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya
mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia
Kapuli.
mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia
Kapuli.
Hayo yamesemwa na Kamishna Suleiman
Kova kuwa majambazi wanaohusishwa na
mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase
Ogenyeke “mjeshi” (35) mkazi wa Tabata
Chang’ombe na Hamis Shaban “Carlos”
mkazi wa Magomeni mwembechai.
Kova alisema majambazi hao wawili licha
ya kuhusishwa na tukio la kifo cha mtawa
huyo, pia wanahusika na tukio la uporaji
fedha katika benki ya Barcrays tawi la
Kinondoni.
Aidha alisema kuwa jeshi la Polisi bado
linawatafuta watuhumiwa wengine wawili
katika tukio la mtawa na mmoja kwa jina
maarufu Leonard Mollel katika tukio la
Barcrays.
ujambazi wanaohusishwa na mauaji ya
mtawa wa kaniasa Katoliki Sista Clezensia
Kapuli.
Hayo yamesemwa na Kamishna Suleiman
Kova kuwa majambazi wanaohusishwa na
mauaji ya Sista Kapuli kuwa ni Manase
Ogenyeke “mjeshi” (35) mkazi wa Tabata
Chang’ombe na Hamis Shaban “Carlos”
mkazi wa Magomeni mwembechai.
Kova alisema majambazi hao wawili licha
ya kuhusishwa na tukio la kifo cha mtawa
huyo, pia wanahusika na tukio la uporaji
fedha katika benki ya Barcrays tawi la
Kinondoni.
Aidha alisema kuwa jeshi la Polisi bado
linawatafuta watuhumiwa wengine wawili
katika tukio la mtawa na mmoja kwa jina
maarufu Leonard Mollel katika tukio la
Barcrays.
Soc EATV
0 comments:
Post a Comment