
Inaelezwa kuwa kiungo Toni Kroos, 24, yupo mbioni kuelekea nchini Hispania siku ya Jumatano asubuhi akiongozana na wakala wake, mpaka sasa haijafahamika ni klabu gani ataitumikia msimu ujao wa 2014/2015...>>>
Mjerumani huyo aliyeisaidia timu yake ya taifa kuchukua ubingwa wa Dunia hayupo kwenye mipango ya kocha Pep Guardiola katika kikosi cha Buyern Munich, tayari klabu za Real Madrid na Manchester United zimeripotiwa kuisaka huduma yake katika msimu ujao wa 2014/2015.
0 comments:
Post a Comment