Aliyekuwa kocha wa Timu ya Brazil Luiz Felipe Scolari amefukuzwa kazi ya ukocha wa kikosi cha Timu ya taifa ya Brazil kufuatia matokeo mabaya katika michuano ya kombe la dunia 2014...>>>
Kwa mujibu wa shirikisho la soka la Brazil [CBF] wametangaza kuwa halita ongeza mkataba mpya na Luiz Felipe Scolari wa kuendelea kusimamia na kunoa timu ya Brazil baada ya matokea mabaya kwenye world cup 2014.
Scolari ametupiwa Lawama za kushindwa kuongoza timu ya taifa ya Brazil mpaka kuchukua kombe la dunia ukizingatia walikuwa nyumbani na ndio waandaji wa michuano hio mwaka huu.
0 comments:
Post a Comment