Picha: Mabweni ya shule ya sekondari Mivumoni ya msikiti wa Mtambani yalivyoteketea kwa moto jijini Dar, chanzo chatajwa

Bweni la shule ya Mivumoni lililopo kwenye msikiti wa Mtambani likiteketea kwa moto katika eneo la Kinondoni B.
Bweni la shule ya Mivumoni lililopo kwenye msikiti wa Mtambani likiteketea kwa moto katika eneo la Kinondoni B.
Eneo hilo lilikuwa pia likitumika kama ofisi za walimu lilitekea kwa moto kiasi ya kwamba hakuna kitu chochote kilichoweza kuokolewa...>>>

Waumini hao wakionekana kupeana ndoo kuhakikisha wanapambana vikali na moto huo mkubwa ulioharibu kila kitu ndani ya msikiti huo maarufu jijini Dar es Salaam.
Waumini hao wakionekana kupeana ndoo kuhakikisha wanapambana vikali na moto huo mkubwa ulioharibu kila kitu ndani ya msikiti huo maarufu jijini Dar es Salaam.
mashuhuda wa moto hupo walidai kuwa chanzo cha moto huo ni hitilafu ya umeme iliyotokea kwenye bweni la wasichana, ila hakuna mtu yeyote aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa na ajali hiyo ya moto.
Waumini wa msikiti wakifanya jitihada binafsi za kuuzima moto huo.
Waumini wa msikiti wakifanya jitihada binafsi za kuuzima moto huo.
Watu mbalimbali wakionekana kupandisha ndoo za maji kwenye gari ya kuzima moto ya kampuni ya Ultimate Security.
Watu mbalimbali wakionekana kupandisha ndoo za maji kwenye gari ya kuzima moto ya kampuni ya Ultimate Security.
Badhi ya askari wa usalama wakiwa katika eneo hilo kuhakikisha usalama unatawala.
Badhi ya askari wa usalama wakiwa katika eneo hilo kuhakikisha usalama unatawala.
Wananchi wakijaza maji kwenye gari hilo ili liweze kuzima moto huo kwa haraka.
Wananchi wakijaza maji kwenye gari hilo ili liweze kuzima moto huo kwa haraka.
Gari jingine la kuzima moto nalo lilipambana na moto huo lakini hakuna kilichookolewa.
Gari jingine la kuzima moto nalo lilipambana na moto huo lakini hakuna kilichookolewa.
Umati wa watu walifurika kushuhudia msikiti huo ukiteketea kwa moto.
Umati wa watu walifurika kushuhudia msikiti huo ukiteketea kwa moto
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks