Mkuu wa Idhaa ya BBC Ulimwengu Nikki Clarke akikata utepe wa kuingia katika ofisi za studio mpya za BBC
katika jengo la Tangaza House jijini Dar es Salaam...>>>
Mkuu wa Idhaa ya BBC Swahili Ali Saleh (katikati) akimuelekeza jambo Dr. Salim Ahmed Salim, pembeni ni Profesa Ibrahim Lipumba, mwenyekiti wa CUF.
Bi. Nikki Clarke akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa zamani wa TBC Tido Mhando.
Baadhi ya wageni waliohudhuria uzinduzi wa studio mpya za BBC Swahili jijini Dar.
Studio mpya za BBC Swahili.
Chumba cha studio mpya za BBC Swahili.
Mtangazaji mashuhuri wa BBC Dira ya Dunia Salim Kikeke akiwa na mpiga picha wa BBC.
Watangazaji wa BBC Swahili wakionekana kufurahia jambo.
Baruani Muhuza akisoma script katika moja ya studio hizo za BBC.
Mtangazaji wa BBC Swahili Zuhra Yunus akiwa mzigoni.
Timu ya wafanyakazi wa BBC Swahili wakiwa katika pozi na nyuso za fuaraha baada ya uzinduzi wa studio hizo mpya.
Mtangazaji wa BBC Swahili Regina Mziwanda akiwa kazini.
Salim Kikeke akijiandaa kutangaza kipindi cha Dira ya Dunia. Picha na Othman Michuzi.
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment