Ulinzi kwa msanii mkubwa ambaye hujichanganya na watu tofauti ni muhimu sana na mara nyingi tumeona walinzi hawa wakingia kwenye matatizo sababu ya kuwalinda wasanii au watu maarufu. Tanzania mpaka sasa tuna wasanii wachache walioweza kumiliki ulinzi huu sababu..>>>
ya usimamizi na kazi zao za kila siku. Hapa ni Linah wa No Fake Zone Entertainment na Diamond.- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment