Manchester City wamemnyakuwa kocha wa zamani wa Manchester United David Moyes na kuwa mfanyakazi wao...>>>
James Smith alikuwa kiongozi wa skauti ya ufundi wa Evertion chini ya David Moyes mwaka 2003, ambaye alimshawishi Januari kuwa achukue kazi ya uskauti United.
Ila Smith alikuwa tatizo la Moyes kumfukuzwa mwezi Aprili na maafisa wa City wameamua kuchukua, na kumteua kuwa skauti wao wa Ulaya.
David Moyes alionekana akifanya kazi City kwenye ushindi 4-0 kati ya Liverpool na Borussia Dortmund, Anfield siku ya Jumapili.
Skauti ni mtu aliyeajiriwa kwa ajili kuchunguza matukio ya mbele, na kutafuta vipaji.
0 comments:
Post a Comment