Namba mpya za pikipiki na bajaji kuanza kutolewa Tanzania, ni tofauti na zile za magari.



Toka namba mpya za magari zianze kutumika nchini Tanzania tulizoea kuona namba hizo zikifanana na zile za pikipiki, yani hakukuwa na tofauti kati ya namba za pikipiki na za magari...>>>

Taarifa mpya ya TRA iliyoandikwa na gazeti la Uhuru imesema kuanzia October 2014 mamlaka hii ya mapato itaanza kutoa namba mpya za pikipiki ambazo zitakuwa tofauti na namba za magari.
Namba hizo mpya zitakua kwenye mfano huu MCM 101 AAA badala ya T101AAA
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks