Picha za wasanii wakiongozwa na Ruge katika hospitali ya mkoa wa Mara wakiwafariji wagonjwa




Hii picha hapa juu ni muda mfupi baada ya kuahirishwa kwa fiesta, Wasanii walionyesha moyo mkubwa na kuuweka umaarufu pembeni kisha kuongozana wote kwenda kutembelea Majeruhi hospitali na pia kuwapa misaada mbalimbali waliofiwa na wenye ndugu majeruhi....>>>>


Kiukweli Wasanii waliguswa sana na huu msiba ambapo wakiwa hospitalini mmoja alianzisha wazo la kurudi tena leo kujulia hali majeruhi na kutoa misaada mingine kitu ambacho kiliungwa mkono na wengine wote.
Mganga mkuu hospitali ya mkoa akiwa ofisini kwake



7





Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks