Rose Ndauka amesema yupo tayari kurejea kazini, mumewe Chiwaman adai hajui sababu ya kuachana kwao

ROSE2
Muigizaki kutoka Bongo Movies Rose Ndauka amesema kuwa kwakuwa mwanae amitimiza miezi 9 yupo tayari kurejea kazini baada ya kuwa kimya kwa kipindi kirefu sasa kutokana na likizo ya uzazi...>>

Hivi karibuni Rose Ndauka aliachana na Baba wa mwanae, Malick Bandawe aka Chiwa man. japo Ndauka aliwahi kusema kuwa walikaa pamoja na kuamua kuachana kutokana na kuwepo kwa tofauti zisizo suluhushika, Chiwa man amesema kuwa hajui sababu ya kuachana kwao.
“Mimi sina sababu yoyote labda yeye anaweza akawambia sababu,” alisema Chiwa man
wawili hao walikuwa wanamikakati ya kufunga ndoa
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks