Rapper kutoka Young Money Nicki Minaj amekuwa kwenye nafasi nzuri katika rekodi za bilboard kwa kuwa na nyimbo 56 kwenye chati hizo. Wimbo wa Nicki Minaj “Bed Of Lies” aliofanya na Skylar Grey umeingia kwenye chati za bilboard na kumuweka nafasi moja na msanii Madonna na Dionne Warwick.....
Wasanii ambao wanaoshikilia rekodi hii ni pamoja na Aretha Franklin mwenye nyimbo 73, Taylor Swift mwenye nyimbo 66. Albm mpya ya Minaj The Pink Print Inatoka December 15.
0 comments:
Post a Comment