Baraza la maadili kuwahoji wahusika sakata la Tegeta ESCROW

Viongozi wa baraza la maadili
Viongozi wa baraza la maadili
Vigogo wanaodaiwa kuhusika katika Akaunti ya Tegeta ESCROW leo waananza kuhojiwa na Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma.
Katika kikao hicho cha Baraza viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Mameya watahojiwa.
Kikao hicho kitadumu ndani ya wiki tatu.
Hata hivyo macho na masikio ya watanzania wengi yapo kwa Vigogo waliotajwa kupata mgawo wa fedha za ESCROW kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd, James Rugemalira.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks