Wiz Khalifa amtupia lawama Amber juu ya malezi mabovu kwa mtoto wao

Wiz Khalifa ametumia twitter kumtupia lawama  mama wa mtoto wake Amber Rose kwa kitendo cha kutokumpa nafasi ya kumuona mtoto wao katika sherehe yake ya siku ya kuzaliwa.
Amber Rose ambaye kwa sasa anamifarakano na familia ya The Kardashians amekuwa akitumia muda wake mwingi kugombana na watu wa familia hiyo kwenye mitandao kuliko kuwa karibu na mwanae.
Rapa Wiz Khalifa akiwa na mwanae, Sebastian Taylor
Rapa Wiz Khalifa akiwa na mwanae, Sebastian Taylor
Wiz Khalifa anampango wa kurudi mahakamani kutaka haki zote za malezi ya mtoto wake ziwe kwake na sio Kwa Amber Tena.
Pia twit ya mwisho ya Wiz Khalifa ameweka wazi kuwa hajawahi kumsaliti Amber Rose.wizk1
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks