Picha ya Cristiano Ronaldo iliyoibua mijadala

Kwenye picha hii kuna ukweli?
Kwenye picha hii kuna ukweli?
Hivi karibuni kuna picha imezagaa kwenye mitandao ikimuonesha nyota wa Kireno Christiano Ronaldo akimpigia kampeni ya rais wa Nigeria Goodluck Ebele Jonathan.
Picha hii imeibua mijadala mingi kwenye mitandao mingi huku watu wengine wakisema picha hiyo imetengenezwa kwa kutumia adobe photoshop.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks