Picha: Nyota wa Barca wakiwasili jijini Manchester

Lionel Messi baada ya kutua Uingereza kwenye Casino ya Barcelona
Lionel Messi baada ya kuwasili Manchester kwenye Casino ya Barcelona
Ratiba ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya wiki hii.
Mshambuliaji wa Barcelona Neymar
Mshambuliaji wa Barcelona Neymar
JUMANNE FEB 24
Juventus v Bor Dortmd 22:45
Man City v Barcelona 22:45
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez amerudi Uingereza baada ya kuondoka Liverpool msimu uliopita
Mshambuliaji wa zamani wa Liverpool, Luis Suarez amerudi Uingereza baada ya kuondoka Liverpool msimu uliopita
JUMATANO FEB 25
Arsenal v Monaco 22:45
Bayer Levkn v Atl Madrid 22:45
Mlinzi wa Barcelona Javier Mascherano akisaini autografu kwa mashabiki wa Barca
Mlinzi wa Barcelona Javier Mascherano akisaini autografu kwa mashabiki wa Barca
Manchester City watavaana na magwiji hao wa Hispania katika dimba la Etihad.
Wakati Barcelona wakihaha Hispania, Man City iliitandika Newcastle 5-0 wikiendi hii
Wakati Barcelona wakihaha Hispania, Man City iliitandika Newcastle 5-0 wikiendi hii
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks