Msanii Desire atiwa mbaroni na mamlaka ya uhamiaji

Msanii wa Uganda aliyekamatwa na polisi Desire Luzinda
Msanii wa Uganda aliyekamatwa na polisi Desire Luzinda
Mamlaka ya uhamiaji nchini Uganda ilimtia mbaroni mwanamuziki Desire Luzinda kwa kosa la kutumia pesa kinyume na makubaliano na mkopeshaji wake.
Inasemekana msanii huyo baada ya kuchukua zile pesa alizitumia kumsaidia mpenzi wake raia wa Nigeria ili kuchukua passport ya Uganda.
Desire alitiwa mbaroni kwenye uwanja wa kimataifa wa Entebbe siku ya Jumamosi asubuhi wakati akirejea kutoka kwenye tamasha nchini Congo Brazzaville.
Msemaji wa polisi Bw. Fred Enanga alithibitisha kukamatwa kwa msanii huyo.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks