Siku ya jana mastaa kadhaa walikutana
kwenye party ambayo ilikuwa na chakula cha mchana pamoja na cocktails
maeneo ya Beverly Hills Marekani, ambapo hii ilikuwa party ya utangulizi
wa sherehe za tuzo za Grammy zitakazofanyika usiku leo February 8,
katika ukumbi wa Staples Centre, Los Angeles Marekani...>>
Party iliandaliwa na Kampuni ya Jay Z, Roc Nation na kualika mastaa hao.
Hapa kuna pichaz za mastaa kibao ambazo zilipigwa kwenye party hiyo.

Willow Smith, Beyonce na Jay Z.

Miguel

Nick Minaj

Kelly Rowland, Melina Matsoukas, Janelle Monáe na Michael Bolton

Marapper Casey Veggies na Meek Mill

Rihanna na Kim Kadarshian

Kim Kadarshian na Kanye West

Kanye West na Michael Bolton

Marapa Sevyn Streeter na B.o.B

Mtu na kaka yake, Willow na Jaden Smith

Big Sean

Kanye West na Jay Z



0 comments:
Post a Comment