Tafiti zimesema haya ndio MAJIJI salama zaidi duniani kwa kuishi…

0_CATERS_Hong_Kong_Extreme_Selfies_08-800x498
Kila mtu anapenda kuwa mahali penye ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa uhakika.
Katika moja ya vitu ambavyo nimeona nikusogezee ujue ni hii ya list ya majiji ambayo ni salama zaidi duniani !...

Vigezo ambavyo viliangaliwa hapa ni pamoja na ulinzi wa kisasa (vitu kama CCTV camera, scanners), ulinzi na usalama wa afya za watu, ulinzi na usalama wa miundombinu kama majengo, barabara na usalama wa mtu binafsi.
Watafiti wa The Economist Intelligence Unit wametoa idadi ya majiji hayo 50 salama zaidi duniani kwa kuishi, katika hayo kutoka Afrika ni jiji moja tu limeingia kwenye nafasi ya 47, Johhanesburg Afrika Kusini.
Hapa nimekuwekea haya kumi bora mtu wangu.

No. 1: Tokyo, Japan

No. 2: Singapore, Singapore

No. 3: Osaka, Japan

No. 4: Stockholm, Sweden




No. 5: Amsterdam, Netherlands


No. 6: Sydney, Australia
Zurich
No. 7: Zurich, Switzerland

No. 8: Toronto, Canada

No. 9: Melbourne, Australia

No. 10: New York, Marekani
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks