Tiketi ya pambano la Maywether na Pacman ni kufuru.

Floyd Mayweather alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuitazama la LA Clippers
Floyd Mayweather alisherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuitazama LA Clippers
Kila mmoja katika ulimwengu wa ndondi anasubiri kumuona Floyd Mayweather akizipiga na Manny Pacquiao.

Manny Pacquiao akicheza mchezo wa chesi huku akijiandaa kwa ajili ya pambano
Manny Pacquiao akicheza mchezo wa chesi huku akijiandaa kwa ajili ya pambano
Baadhi ya watu wamedai kuwa tiketi hizo zitakuwa kama mchanga wa dhahabu lakini aghali.

Ukumbi wa MGM mjni Las Vegas ndipo patakapofanyika pambano hilo ambapo tiketi inadaiwa kuwa pauni 100,000
Ukumbi wa MGM mjni Las Vegas ndipo patakapofanyika pambano hilo ambapo tiketi inadaiwa kuwa pauni 100,000
Mashabiki wengi wa ngumi kutoka miji mbalimbali wamekuwa wakipiga simu kuulizia tiketi huku kuna tetesi kuhusu hili.

Mkataba wa makubaliano wa kupigana pambano hilo
Mkataba wa makubaliano wa kupigana pambano hilo
Baadhi ya watu wanasema tiketi zitauzwa hadi pauni 100,000 (Mil. 280). Na kuna tetesi nyingine kuwa hakuna tiketi zitakazouzwa hadharani.
Bei hiyo ya tiketi unaweza kununua gari aina ya Mark X.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks