Mbwa wa polisi astaafu na kuagwa kwa gwaride la heshima


Mbwa wa polisi astaafu na kuagwa kwa gwaride la heshima
Mbwa wa polisi astaafu na kuagwa kwa gwaride la heshima
Mbwa mmoja wa Polisi huko New Jersey Marekani mwenye umri wa miaka nane aliyefanya kazi kwa miaka minne amelazimika kustaafu kutokana na afya yake kuwa mbaya.
msafara wa magari yaliyokuwa yamembeba mbwa huyo
msafara wa magari yaliyokuwa yamembeba mbwa huyo
Mbwa huyo wa Polisi ambaye anaitwa Judge amepewa heshima na kuagwa kishujaa, kwa kuandaliwa gwaride pamoja na kupigiwa saluti na Polisi,tukio hilo pia lilishuhudiwa na watu wa haki za wanyama.
dog3
Judge alitakiwa kustaafu kama mbwa wa Polisi katika kituo cha West Deptford, New Jersey tangu mwaka 2013, kutokana na maradhi ya meno na pia afya yake kuwa sio nzuri.
Watu wa haki za wanyama walishauri mbwa huyo ‘astaafishwe’ na pia apelekwe kupatiwa matibabu katika Hospitali ya wanyama ya Swedesboro.
Shughuli za mazishi ya mbwa.
Shughuli za mazishi ya mbwa.
Tukio hilo sio geni sana kwa wenzetu, ukilinganisha na story iliyomhusu mbwa mmoja wa Polisi ambaye alizikwa kwa heshima kama ambavyo huwa mazishi ya askari yanafanyika.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks