Bill Gates atoa wazo muhimu


Bill gates akizungumza kwenye mkutano wa kupamba na ugonjwa wa ebola
Bill gates akizungumza kwenye mkutano wa kupamba na ugonjwa wa ebola
Mwasisi wa shirika la Microsoft linalojihusisha na programu za kompyuta Bill Gates ametoa wito wa kutengenezwa michezo ya kompyuta inayotoa mafunzo badala ya ile ya vita.
Bill Gates amesema ili kuweza kukabiliana na magonjwa ya kuambukiza kama Ebola ni bora kutengeneza michezo ya kompyuta inayotoa mafunzo kama michezo kuhusu vijidudu maradhi badala ya ile inayohusu vita na mapigano.
Bill Gates alisema hayo wakati alipokuwa anakabidhi vifaa vya kukabiliana na ugonjwa wa ebola ya kutibu na ameongeza kuwa utengenezaji wa michezo ya kompyuta inayotoa mafunzo inaweza kutoa uwezo wa kuzidisha maarifa ya watu kuhusu magonja mbalimbali na njia za kukabiliana nayo.
Wataalamu wengi wa elimu binafsi wamekuwa wakikosoa michezo ya kompyuta inayotengenezwa katika nchi za Magharibi ambayo nyingi inahusiana na utumiaji mabavu, ukatili, vita na hata utovu wa maadili
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks