Jaji warioba ataja sifa za rais ajaye

Jaji warioba
Jaji warioba
Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu Jaji Joseph Warioba amesema kuwa rais ajaye awe mzalendo,mwadilifu na dira ya kuliongoza taifa.
Jaji warioba alisema “Rais anapaswa kujua matatizo ya Watanzania, awe mzalendo, mwadilifu na anapaswa pia kujua  atafanya nini ili kuboresha maisha ya wananchi kupitia sekta za afya na uchumi,”.
Kauli kama hizo ziliwahi kutolewa na viongozi wengine kadhaa  ambao nao walitaja sifa za rais ajaye, akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dk Hassy Kitine, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, Mwanasiasa mkongwe Cleopa Msuya, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba,  na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Dk Emmanuel Nchimbi.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks