Kiongozi wa zamani wa kundi la waasi nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati Ousmane Mahamat amekamatwa.
Ousmane Mahamat Ousmane, ambaye ni naibu kiongozi wa vuguvugu la
waasi wa zamani wa Seleka ambao walibadili jina na kuitwa FPRC,
alikamatwa mwishoni mwa juma lililopita baada ya kuiingia na kikosi cha
walinzi wake katika uwanja wa ndege wa Bangui.
Waasi wa FPRC wameomba kiongozi huyo aachiliwe huru mara moja ili aweze kushiriki katika mkutano wamaridhiano mjini Bangui.
Kiongozi huyo wa kundi la zamani la waasi la Seleka, alikamwata
wakati akija uwanja wa ndege kumpokea mke wake kwenye uwanja wa ndege wa
Bangui.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment