Liverpool yaipumulia Man United


Handerson alifunga goli hilo na kuipa ushindi timu yake
Handerson alifunga goli hilo na kuipa ushindi timu yake
Timu ya Liverpool iliibuka na ushindi mwembamba wa 1-0 dhidi ya Swansea City Jumatatu usiku.
Goli la Liverpool lilifungwa na Jordan Handerson katika kipindi cha pili dakika ya 68.
Liverpool iko nyuma alama mbili dhidi ya Man United ambayo iko nafasi ya nne
Liverpool iko nyuma alama mbili dhidi ya Man United ambayo iko nafasi ya nne
Kwa matokeo hayo Liverpool kwa sasa wana alama 54 wakiwa nyuma ya Manchester United kwa alama mbili ambao wanashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks