Young Killer aota kuwa kama Jay Z


Nyota wa bongo fleva Young Killer
Nyota wa bongo fleva Young Killer
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young Killer, amesema ana ndoto za kufikia mafanikio aliyonayo mwanamuziki wa kimataifa, Jay Z.
Akizungumza na Mwandishi jijini Dar es Salaam, Killer, alisema dhamira yake ni kuwa msanii mkubwa kama huyo wa Marekani.
“Natamani siku moja nifikie uwezo na mafanikio kama ya Jay Z, nampenda sana,” alisema Killer.
Gwiji wa muziki wa hip hop Jay Z
Gwiji wa muziki wa hip hop Jay Z
Alisema ili kufikia hatua hiyo, atafanya bidii kuhakikisha anapata mafanikio makubwa.
“Hizo ndizo ndoto zangu za kusonga mbele zaidi, napenda kuiga anayofanya nguli huyo wa Marekani,” alisema msanii huyo.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks