Zaidi ya watu 3000 ikiwa ni pamoja na mapacha wanaofanana,wasiofanana,mapacha watatu na mapacha wanaoelekea kufanana walikutana jijini Melbourne nchini Australia kusherekea siku ya mapacha duniani.
Sherehe hiyo uwakutanisha mapacha wa rika zote na uwa kila mtu anaonesha kipaji chake pamoja na kuwatuza mapacha wanaofanana kabisa.
Fatilia picha hizo halafu uniambie ni mapacha namba ngapi wanafanana kila kitu.











0 comments:
Post a Comment