Ratiba ya robo fainali UEFA, Madrid, Atletico hapatoshi


Ratiba ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Ratiba ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya
Mabingwa watetezi Real Madrid watakabiliana na mahasimu wao Atletico Madrid katika robo fainali – timu waliyoifunga kwenye fainali msimu uliopita kwenye Ligi ya Mabingwa.
Barcelona
Barcelona
Los Blancos walihitaji muda wa ziada kukifunga kikosi cha Diego Simone mwezi Mei lakini kikosi cha Madrid kitakabilinana nao tena mwezi ujao.
Real Madrid a.k.a Los Blancos
Real Madrid a.k.a Los Blancos
Kwingineko, Barcelona itaivaa Paris St-Germain, Porto watawavaa Bayern Munich na Juventus (Vibibi vya Turin) watakutana na Monaco.
Timu hizo zikishangilia mechi zao zilizopita;
Bayern Munich
Bayern Munich
Juventus a.k.a Old Lady
Juventus a.k.a Old Lady
Paris St-Germain
Paris St-Germain
Atletico Madrid
Atletico Madrid
Monaco
Monaco
Porto
Porto
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks