Abdul Hadi Arwani, aliekuwa imam wa msikiti wa An-Noor wa jijini London amekutwa kwenye gari lake aina ya Volkswgen akiwa amepoteza maisha.
Abdul Hadi Arwani aliuawa na watu ambao hawajafahamika hadi sasa.
Imam huyo alifahamika kwa kutoa hotuba zake dhidi ya serekali ya Bashar al- Assad.
Polisi nchini Uingereza imesema kuwa imeanzisha uchunguzi kuhusiana na mauaji hayo.
0 comments:
Post a Comment