Obama aahidi kuendelea na ziara Kenya


Rais wa Marekani, Barack Obama
Rais wa Marekani, Barack Obama
Rais wa Marekani Barack Obama alimpigia simu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kumpa salamu za pole kufuatia “shambulio la kigaidi” kwenye Chuo Kikuu Kenya na kuthibitisha mpango wake wa kuzuru taifa hilo badae mwaka huu,” ilieleza White House.
“Maneno hayatoshi kulaani ukatili wa magaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, ambapo wanaume na wanawake wasio na hatia waliuawa kikatili,” alisema Obama katika taarifa yake.
Shambulio hilo limefanyika katika Chuo Kikuu cha Garissa
Shambulio hilo limefanyika katika Chuo Kikuu cha Garissa na kuuliwa wanafunzi wapatao 150
“Tutasimama bega kwa bega na Serikali ya Kenya na watu dhidi ya ugaidi na katika jitihada za kuunganisha jumuiya hiyo pamoja.”
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

Blogger Tricks