Rais wa Marekani Barack Obama alimpigia simu Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kumpa salamu za pole kufuatia “shambulio la kigaidi” kwenye Chuo Kikuu Kenya na kuthibitisha mpango wake wa kuzuru taifa hilo badae mwaka huu,” ilieleza White House.
“Maneno hayatoshi kulaani ukatili wa magaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa, ambapo wanaume na wanawake wasio na hatia waliuawa kikatili,” alisema Obama katika taarifa yake.
“Tutasimama bega kwa bega na Serikali ya Kenya na watu dhidi ya ugaidi na katika jitihada za kuunganisha jumuiya hiyo pamoja.”
Hey brother, I see you keep us uptodate...keep on My brother!
ReplyDeleteThax alot bro
Delete