Siku ya Jumatano Rais Barack Obama amemtaka Rais mteule wa Nigeria Muhammadu Buhari na rais wa sasa Goodluck Jonathan kukubaliana kufuatia mabadiliko ya uongozi ya kwanza ya kidemokrasia Afrika, na kusifia demokrasia ya nchi hiyo.
“Namtaka Rais-mteule Buhari na Rais Jonathan kutoa wito kwa wafuasi wao kuheshimu matokeo ya uchaguzi, kulenga kuiunganisha nchi, na kuiongoza Nigeria katika mabadiliko ya amani,” alisema Obama katika taarifa.
Rais-mteule, Jenerali Muhammadu Buhari ataapishwa Mei 29, 2015 kama rais wa 15 wa Taifa la Nigeria



0 comments:
Post a Comment