Utashtuka kumuona Michelle Obama akiwa anadance? Nna video zake hapa

Jimmy & Michelle
Lets move ni jina la campaign ambayo ilianzishwa na First lady wa Marekani, Michelle Obama ambapo kampeni hiyo inahusiana na kuhamasisha masuala ya kuzingatia mlo mzuri, pamoja na kuwa na furaha.
Sasa ni kwamba juzi Michelle alikuwa kwenye Interview na Jimmy Fallon, ishu ninayokusogezea sio kile walichokiongea siku hiyo.. najua utaona kitu tofauti hapa.
Michelle na Jimmy walijiachia.. waka-dance muziki.. wanaonekana happy tuu.. nikajiuliza kitu, hivi ni rahisi kwa mke wa Rais huku Afrika eti kumkuta anacheza kama hivi?
Play hapa uwaone…
Hii sio mara ya kwanza Michelle kujiachia kudance, hii ni video nyingine ya miaka mitatu iliyopita mtu wangu akiwa na wanafunzi…
K
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks