“Bora nikae bila chama kuliko kukaa chama kimoja na Lowassa” Haya ni maneno yaliyosemwa na Dr Slaa mara baada ya Lowassa kutangaza rasmi kujiunga na Chadema hapo jana.
Taarifa tuliyoipata ni kwamba kiongozi huyo amekataa kukubaliana na maamuzi ya Viongozi wenzake juu ya ujio wa Lowassa ndani ya chama hicho.
Katika hatua nyingine viongozi wengine wakuu wa chama hicho wemeungana na Dr Slaa kupinga ujio huo
0 comments:
Post a Comment