Chama Cha Mapinduzi kinazindua rasmi kampeni zake leo kwenye viwanja vya Jangwani ambapo Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk.John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan atakabidhiwa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015 – 2020
Maandalizi ya jukwaa la kampeni yakiendelea katika viunga vya Jangwani jijini Dar es Salaam
Watu wakichakarika kuandaa jukwaa hilo
Muonekano wa jukwaa hilo kwa upande wa watakapokaa wanachama wake
Taswira ya mbali ya jukwaa hilo
Matangazo katika moja ya barabara jijini Dar es Salaam
Msafara wa baadhi ya wanachaam wa CCM katika pikipiki maarufu kama bodaboda
Bendera za CCM zikipepea katika barabara ya Morogoro
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment