
Waziri mkuu wa zamani wa Tanzania Frederick Sumaye akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza uamuzi wa kuhama Chama cha Mapinduzi na kutimkia Ukawa

Sumaye akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe

Sumaye akijibu maswali ya waandishi wa habari

Sumaye akisalimiana na mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi James Mbatia

Sumaye akisalimiana na mgombea urais Mhe. Edward Lowassa

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Picha na Chadema Blog
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment