Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Mafinga kwenye mkutano wa kampeni za CCM
uliofanyika viwanja vya Wambi Mafinga ambapo aliwaambia wakazi hao
wasihadaike na maneno ya kisiasa yanayotolewa na vyama vingine kuwa
nchii hii haijapiga hatua wakati maendeleo yanaonekana wazi na nchi
inazidi kusonga mbele
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akisisitiza jambo wakati akihutubia wakazi wa Mafinga kwenye mkutano wa
kampeni za CCM
Mgombea
ubunge wa Jimbo la Mafinga Cosato Chumi akihutubia wakazi wa mji huo
wakati wa mkutano wa kampeni ambapo Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha
Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli alihutubia pia
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Mafinga Cosato Chumi akisisitiza jambo wakati wa
mkutano wa kampeni za CCM ambao ulihutubiwa pia na mgombea wa Urais
kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Wazazi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa alhaji Abdala Bulembo
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akionyesha
kadi ya aliyekuwa kada wa Chadema Mafinga Gift Sikauka Mwachang’a
aliyerudi CCM kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye
viwanja vya Wambi
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimvisha
kofia ya CCM aliyekuwa kada wa Chadema Mafinga Gift Sikauka Mwachang’a
aliyerudi CCM kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye
viwanja vya Wambi
Gift
Sikauka Mwachang’a akitangaza rasmi kukihama chama cha Chadema na
kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye mkutano wa kampeni za CCM mbele
ya mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
Mgombea
wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli
akizungumza mbele ya walemavu wa kusikia na kuona ambapo aliwakabidhi
ilani ya uchaguzi ambayo imewazungumzia na kutaka wapewe msaada wa
kuelimishwa masuala mbali mbali yalioandikwa kwenye ilani
Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Mufindi Kusini Ndugu Mahmoud Mgimwa akipiga push up
mbele ya wakazi wa Mafinga waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa
kampeni wa kumnadi mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Picha na Adam Mzee
- Mkutano wake waweka historia
- Kada maarufu wa Chadema anayefahamika kwa jina la Gift Sikauka Mwachang’a ajiunga na CCM
- Magufuli atoa somo kwa vijana kujua wapi nchi imetoka, ilipo na inapoelekea
- Aahidi kufanya maendeleo makubwa na kuhakikisha wafanya biashara ndogo ndogo wanapewa fursa za kukuza biashara zao.
I Run And Own Nellychazy.blogspot.com.
Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting.
Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
0 comments:
Post a Comment