FA yampa adhabu Jose Mourinho


Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
Kocha wa Chelsea Jose Mourinho amefungiwa mechi moja pamoja na kutozwa faini pauni 40,000 na Chama cha soka Uingereza FA.
Adhabu hiyo inakuja baada ya Mourinho kukubali kutumia lugha mbaya katika mechi waliyofungwa na West Ham Oktoba 24.
Mwamuzi Jon Moss akiwa amezungukwa na wachezaji wa Chelsea ilipofungwa 2-1 na West Ham
Mwamuzi Jon Moss akiwa amezungukwa na wachezaji wa Chelsea ilipofungwa 2-1 na West Ham
Mourinho, 52, alitolewa kwenye benchi baada ya kuzungumza na mwamuzi Jon Mos katika chumba chake kwenye muda wa mapumziko.
Jose Mourinho atakosa mechi ya Ligi wakati Chelsea itakapovaana na Stoke Jumamosi, labda akate rufaa.
TAARIFA KAMILI YA FA
Following an Independent Regulatory Commission hearing today, Jose Mourinho has been given a one-match stadium suspension with immediate effect and fined £40,000.
The Chelsea manager admitted an FA charge of misconduct regarding his language and/or behaviour towards the match officials in or around the dressing room area during half-time of the game against West Ham United on 24 October 2015.
With regard to Chelsea coach Silvino Louro, who denied an FA misconduct charge in relation to the same game, The FA, having considered further representation, withdrew the formal charge of improper conduct but reminded him of his responsibilities.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks