10 bora ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika imetoka, Samatta yupo

10 bora ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika imetoka, Samatta yupo.
10 bora ya wanaowania tuzo ya mwanasoka bora Afrika imetoka, Samatta yupo.
Mbwana Samatta ameingia kwenye orodha ya wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora barani Afrika. Samatta anawania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (African Player of the Year (Based in Africa) 2015.

Mshindi wa tuzo hiyo ataamuliwa kwa kura zitakazopigwa na makocha pamoja na wakurugenzi wa ufundi wa nchi wanachama wa shikicho la mpira wa miguu Afrika (CAF).
Pia shirikisho hilo limetoa orodha nyingine ya wachezaji wanaowania tuzo ya Afrika ambayo inahusisha wachezaji wanaocheza ligi za ndani au nje ya Afrika.
Tuzo hiyo itakabidhiwa kwa mshindi Alhamisi, 7 January 2016 Abuja, Nigeria.
African Player of the – Year Based in Africa
Abdeladim Khadrouf (Morocco & Moghreb Tetouan)
Baghdad Bounedjah (Algeria & Etoile du Sahel)
Felipe Ovono (Equatorial Guinea & Orlando Pirates)
Kermit Erasmus (South Africa & Orlando Pirates)
Mbwana Ally Samatta (Tanzania & TP Mazembe)
Mohamed Meftah (Algeria & USM Alger)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Robert Kidiaba Muteba (DR Congo & TP Mazembe)
Roger Assalé (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)
Zineddine Ferhat (Algeria & USM Alger)
African Player of the year
André Ayew (Ghana & Swansea)
Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
Mohamed Salah (Egypt & Roma)
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
Sadio Mané (Senegal & Southampton)
Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
Yacine Brahimi (Algeria & Porto)
Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks