MIDA YA WANGA 3

Ghafla miguu ikashindwa kustahimili uzito wa mwili na kuniacha nikididimia taratibu kwenda chini.Muda wote huu mapigo ya moyo yalikuwa yakienda kasi kwa kile nilichokuwa nakiona mbele yangu,  kwani sikuwa natajarajia kumwona Hamza mkuu wa kilinge chetu mahala kama pale.Yeye alikuwa ni mtu wa kusubiri kafara ziletwe, ziandaliwe, ajishibie, atoe maelekezo kisha atoweke. Ila usiku huo alikuja mpaka pale maandalizi yanapofanyika,  hali iliyopelekea kuamini kwamba hali ilikuwa si shwari. "Usihofu kwa lolote Kiango, mpishi wa kuaminika,  kwani usiku wa leo utakuwa ni usiku wa furaha sana kwako.Jiandae kwa kupandishwa cheo na ni matumaini yangu masharti yote wayajua,  kafara ya kupandishwa cheo ni mtu umpendaye. Kwahyo usiku wa leo tungependa kuona ukimtoa .......
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks