Wale wa Director Nisher hii inawahusu kinoma noma idake'''

nishaa
Ukizungumza jina la Director Nisher sasa hivi kwa mdau yoyote wa muziki anaweza asione kama jina geni kwake na hii ni baada ya kuingia rasmi kwenye sekta ya uongozaji[Director]wa video mbali mbali za Bongo Fleva.
Miongoni mwa video alizozifanya ambazo imetoka taarifa kuwa zimepata air time ya nguvu  kuonyeshwa kwenye kituo cha Chanel O ni pamoja na Video ya Mirror ’My Baby’,Young Dee,Kijukuu’,G nako ‘Mama Yeyoo’ na video mpya ya Nikki wa pili ‘Nje ya Box’.
Nisher ambaye kabla hajaanza kuwa Director wa Video amewahi kuimba ingawa hakupata nafasi kubwa ya Watanzania kumuelewa kama walivyompokea kwenye Uongozaji wa Video Kiasili Nisher ni mwenyeji wa 87.9
Arusha.

nisha
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nisher ame-amplify taarifa hizi huku chini ya picha hizo akiandika maneno yafuatayo>“Video zingine kuanza kuoneshwa Channel O ni pamoja na “Baby” Ya Mirror, “KIJUKUU”, ya Young Dee, na “MAMA YEYOO” Ya G.nako….All these videos Directed by NISHER! Namshukuru Mungu!

Screenshot_2014-02-12-10-19-43

POWERD BY MILLARD AYO



Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks