Kanye West na mkewe Kim Kardashian waenda Jerusalem kumbatiza mtoto wao


Rapper asieishiwa na vituko Kanye West na mkewe Kim Kardashian,wali safiri mpaka Jerusalem kwa ajili ya kumbatiza mtoto wao.
article-0-1C89222200000578-864_634x435
Kwa mujibu wa TMZ, familia hiyo ilionekana jana tarehe 14 April, 2015 nje ya kanisa la ubatizo la Saint James Cathedrol lililopo mji mkuu wa Israel Jerusalem, tukio hilo lilichukua kama masaa mawili huku umati mkubwa wa mashabiki na wa waumini wa kanisa hilo walikusanyika nje kwa wingi.
Mtoto wa Kim pamoja na Kanye West North West,ana umri wa miezi ishirini na miwili
Ubatizo huo unafanyika kipindi ambacho Kanye West ana husishwa na taarifa za mara kwa mara akidaiwa kuanzisha dini yake, n ahata yeye kukiri hayo katika interviews kadhaa
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks