Fahamu List ya makocha na wachezaji wa soka wanaolipwa vizuri duniani. Messi vs Ronaldo nani kinara

Jarida linaloheshimika kwa kiasi kikubwa katika ulimwengu wa soka duniani ‘France Football’ leo hii limechapisha listi ya wachezaji na makocha 20 wanaolipwa fedha nyingi ndani ya msimu mmoja.
Mapato ya wanasoka hao yamejumuishwa kutoka kwenye mishahara yao, na mikataba mbalimbali waliyonayo ya kibishara pamoja na bonasi wanazopata.....>>>
WACHEZAJI WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
  1. Lionel Messi – €41m
  2. Cristiano Ronaldo – €39.5m
  3. Neymar – €29m
  4. Wayne Rooney – €24m
  5. Zlatan Ibrahimovic – €23.5m
  6. Radamel Falcao – €21.2m
  7. Sergio Aguero – €19.7m
  8. Thiago Silva – €17m
  9. Eden Hazard – €16.8m
  10. Franck Ribery – €16.5m
  11. Fernando Torres – €16.2m
  12. Yaya Touré – €16m
  13. David Silva – €15.5m
  14. Gareth Bale – €14.5m
  15. Bastian Schweinsteiger – €14.5m
  16. Luis Suarez – €14.2m
  17. Mario Gotze – €13.9m
  18. Philip Lahm – €13m
  19. Gianluigi Buffon €12.9m
  20. Blaise Matuidi €12.9m
MAKOCHA WALIONGIZA FEDHA NYINGI MIEZI 12 ILIYOPITA
  1. Jose Mourinho – €17m
  2. Pep Guardiola – €15m
  3. Roberto Mancini – €14m
  4. Carlo Ancelotti – €13.5m
  5. Fabio Capello – €12m
  6. Marcelo Lippi – €11.5m
  7. Arsene Wenger – €9.6m
  8. Roberto Di Matteo – €8.2m
  9. Andre Villas-Boas – €6.9m
  10. Rafael Benitez – €6.8m
  11. Luciano Spalletti – €6.5m
  12. Jurgen Klopp – €6.5m
  13. David Moyes – €6.4m
  14. Manuel Pellegrini – €6.4m
  15. Walter Mazzarri €6.1m
  16. Gerardo Martino – €5.4m
  17. Antonio Conte – €5.4m
  18. Claudio Ranieri – €5.2m
  19. Laurent Blanc – €4.2m
  20. Jorge Jesus – €4m
*Villa-Boas na Di Matteo wanaonekana kushika nafasi nzuri kwenye listi kwa sababu bado wanalipwa mishahara yao na Chelsea pamoja na Tottenham bbada ya vilabu hivyo kuwavunjia mikataba yao
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks