Huyu ndiye Mwanaume aliyemek heardline anasemekana kutoka na Lupita Nyong’o.


upita Nyongo kutoka Kenya tayari ameshaanza kuwa miongoni mwa mastar wa dunia na hii ni baada ya kuwa Mshindi wa tuzo za OSCAR 2014,kuna taarifa zimetoka kwenye vyombo vya habari vikimhusisha Lupita Nyong’o kutoka kimapenzi na Keinan Abdi.

lupita
February 27 walionekana pamoja kwenye show ya K’naan iliyofanyia kwenye hotel Café pande za Los Angeles na Lupita akawa anamsaidia kupromote kazi za msanii huyo imeelezwa kuwa siku moja baada ya tuzo za Oscar wakati mapaparazi wakisubiri nyumbani kwa mwigizaji Jared wakijua labda Lupita alilala hapo usiku wake,wakapata picha Lupita akiwa na Mr.K’naan huku akiwa ameshikilia tuzo mkononi
LupitaNyongoKnaanAvaDuVernay
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks