JINSI ALIVYOPIGWA HUYU MWANAJESHI NA HAWA MAASKARI WA USALAMA BARABARANI. nellychazzy 5/08/2014 01:25:00 am HABARI , SIASA Edit Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana jana. Bado haieleweki chanzo ni nini...>>> Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao? Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About nellychazzy I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment