AZAM Tv imeamua kutoa udhamini wa Sh 361.6 milioni kwa ajili ya kurusha ‘live’ mashindano ya mpira wa kikapu ya Miji Mikuu ya Afrika Mashariki na Kati, ambayo yameaanza jana Jumanne Uwanja wa Ndani wa Taifa, jijini Dar es Salaam...>>>>>
Mashindano hayo yatafanyika kwa siku sita kuanzia jana Jumanne mpaka Jumapili, Azam itakuwa inarusha mechi zote kuanzia saa 2 asubuhi mpaka saa 2 usiku mechi hizo zinapomalizika kwa mujibu wa ratiba ya mashindano hayo.
0 comments:
Post a Comment