Mbali na headline mbalimbali zilizoanza kutoka mara baada ya kukabidhiwa kwa tuzo hizi 7 za Kilimanjaro Tanzania Music Award Diamond Platnumz amekua msanii wa kwanza kupata idadi nyingi ya tuzo tangu kuanzishwa kwake,ukitoa 20% ambaye mwaka 2011/2012.
Tuzo alizobeba Diamond kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards ni pamoja na ile ya Mtumbuizaji Bora wa Kiume,Tuzo ya muziki wa Afro Pop,Tuzo ya mwimbaji bora wa kume kizazi kipya,Tuzo ya mtunzi bora wa mwaka,tuzo ya wimbo bora wa mwaka,tuzo ya video bora ya muziki ya mwaka na ile tuzo ya kolabo kati yake na Ney wa Mitego ya wimbo wa Muziki gani.
0 comments:
Post a Comment