Kwa mujibu ya matokeo ya mchakato mzima, Tanzania hatubahatika kupata tuzo hata moja kati ya tuzo mbili alizokuwa anawania Diamond Platinumz (Best Male Artist na Best Collaboration).
Davido ndiye aliyebeba tuzo ya Best Male Artist na tuzo nyingine kubwa ya Artist of The Year. Na Tiwa Savage aliipeleka Nigeria tuzo ya Best Female......>>>
Kundi la Mafikizolo kutoka Afrika Kusini ndilo lililonyakua tuzo kubwa zaidi usiku huo, tuzo ya Wimbo bora wa mwaka na wimbo wao maarufu wa Khona waliomshirikisha Uhuru. Pia likashinda tuzo ya kundi bora (Best Group).
Mafikizolo wanawania pia tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act.
Moja kati ya surprise zilizowavuta wengi ni pale D’Banj alipoungana na Trey Songz jukwaani.
Macho ya watanzania na nguvu kubwa inaelekezwa BET ambako Diamond anawania tuzo ana kila dalili ya kuwazidi wenzake.
Hii ni orodha ya washindi:
>Song of The Year
Khona-Mafikizolo feat Uhuru
>Best Collabo
Y-tjukutja – Uhuru feat DJ Buckz, Oskido, Professor, Yuri Da Cunha
>Best Music Video
Clarence Peters (Nigeria)
Best Francophone
Toofan (Togo)
Artist of the Year
Davido (Skelewu)
Best Hip Hop
Sarkodie (Ghana)
Best Group
Mafikizolo
Best New Act
Stanley Enow (Cameroon)
Best Female Artist
Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male Artist
Davido (Nigeria)
Best Altenative
Gangs of Ballet (South Africa)
*Transform Today Award- Clarence Peters
0 comments:
Post a Comment