Hawa Ndio Wachezaji Nane Wenye Thamani Kubwa Duniani.

Hawa Ndio Wachezaji Nane Wenye Thamani Kubwa Duniani.
Utafiti uliofanywa na CIES Football Observatory imethibitisha kuwa mchezaji wa Barcelona Lionel Messi ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa duniani kulikomchezaji yeyote kwa sasa. Kwa mujibu wa utafiti thamani ya Messi ni mara mbili kwa thamani ya Cristiano Ronald...>>>

Utafiti huu unasema
Lionel Messi Ni £161millioni
Cristiano Ronaldo £85.2millioni
Luis Suares £79.4millioni
Eden Hazard £61.2millioni
Nyemar £50.6millioni
Gareth bale £50.9millioni
Falcao  £22.7m
Lamela £13.6m
CIES Football Observatory wanatumia mfumo uligundulika toka mwaka 2005 na utaonyeshamategemeo yao kwa mshindi wa kombe la dunia baada ya wiki moja kutoka sasa.
Share on Google Plus

About nellychazzy

I Run And Own Nellychazy.blogspot.com. Working With Web Editing, Blogs Template Fix And Editing (HTML). Monitoring click4hosting.net Deals with Web hosting. Also Base On Software And Hardware, Phones,Computer
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment

Blogger Tricks